HATUA ZA KUTAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024
Darasa la Nne walifanya mtihani wao wa Taifa wa Upimaji mwaka huu mwezi wa Tisa. Mtihani huo ulifanyika vizuri kwa usimamizi kutoka baraza la upimaji wa kitaifa Necta.
Matokeo ya Darasa la Nne hutegemewa kutangazwa mwezi huu wa kumi na mbili.Wengi huwa wanashindwa kuangalia matokeo kupitia website ya Necta sasa leo tumeandaa somo la jinsi ya kuangalia matokeo ya darasa la nne.
Hatua za Kufuata Kuweza Kuona Matokeo ya Darasa la nne pale yatakapo Tangazwa.
1. Hatua ya kwanza ingia google kisha andika neno NECTA kisha search
2. Hatua ya pili gusa alama ya vidoti 3 kama unavyoona kwenye picha hapo chini.
3. Hatua ya tatu baada ya kugusa vidoti vitatu gusa neno RESULTS ili kuona matokeo.
4. Hatua ya nne baada ya kugusa Results chagua SFNA ambayo ndio matokeo ya kidato cha nne.
5. Hatua ya mwisho utafunguka ukurasa wenye matokeo huku ukionesha mwaka au miaka ya nyuma hapo utagusa mwaka ambao unataka kuona matokeo yake.
ANGALIZO
Matokeo ya darasa la nne bado hayajatangazwa ila pindi yatakapotangazwa utafuata njia hizi kuyaona.