Maswali ya Oral Interview Waliyoulizwa Walimu Daraja la III A 2025 Ajira Portal - LusaElimu

Maswali ya Oral Interview Waliyoulizwa Walimu Daraja la III A 2025 Ajira Portal

 


The 2025 Teachers’ interview for Daraja la IIIA is a crucial process for those aspiring to join the teaching profession through the Ajira Portal. Scheduled to run from January 14 to February 24, this recruitment aims to ensure fairness, transparency, and merit based selection. Candidates are required to update their personal information and ensure they meet the necessary qualifications. Ajira Portal Interview centers, which will be announced on January 6, 2025, will be allocated based on the updated information. Applicants must present original academic credentials, valid identification, and other essential documents during the interview. This process reflects the government’s commitment to quality education.

QUESTIONS  WALIMU DARAJA LA TATU A ORAL INTERVIEW

1. Introduce yourself

2. Lesson Notes: unaandaa mada ya kipindi utakachokwenda kufundisha/kupresent mbele ya panel.

3. Mbinu za kutunza kumbukumbu

4. Hatua za andalio

5. Mambo ya kuzingatiwa wakati wa kuandaa dhana za ufundishaji

6. Nyaraka tano zinazoweza kutumika mchakato mzima wa ufundishaji.

Lugha iliyotumika: Kiswahili

Mahojiano ya mdomo 2025 Ajira Portal ni muhimu katika ajira kwa sababu huruhusu waajiri kupima ujuzi wa mawasiliano, ujasiri, na tabia ya Mwombaji/Mwalimu. Pia, yanawezesha majadiliano ya kina kuhusu uzoefu, matarajio, na maswali yanayohusu nafasi ya kazi. Ni fursa ya kuonyesha uwezo wa kipekee.





WhatsApp Channel Join Now